![](/rp/kFAqShRrnkQMbH6NYLBYoJ3lq9s.png)
Homepage - HabariLeo
Za Karibuni Elementor #70058 Dk Biteko ashiriki uapisho wa Rais Duma Boko “Mshindi atangazwe, Tamisemi msipendelee” PMAYA 2024:…
Dira 2050 na vyanzo vipya vya mapato - HabariLeo
15 hours ago · Imevitaja vyanzo vipya ni pamoja na masoko ya fedha na mitaji, ushirikiano wa sekta ya umma na binafsi, uhisani wa kibinadamu. Imeeleza kuwa ugharimiaji wa maendeleo Tanzania kwa sasa unategemea vyanzo vya mapato mbalimbali, vikiwemo kodi, ushuru na tozo, mikopo ya ndani na nje, uwekezaji wa kigeni, mikopo na misaada.
Tanzania Archives - HabariLeo
Shinyanga washauriwa kuweka bajeti posho wenyeviti wa vijiji. Na Na Kareny Masasy, Shinyanga. Januari 30, 2025
Tanzania yatabiriwa makubwa Azimio la Dar - HabariLeo
Jan 30, 2025 · TANZANIA inatarajiwa kufanya makubwa kwenye sekta ya ajira na uwekezaji kutokana na Azimio la Dar es Salaam katika mkutano wa nishati wa Misheni 300 uliomalizika Dar es Salaam Januari 28. Wachambuzi wa masuala ya uchumi na wadau wa nishati wamesema mkutano huo na azimio hilo ni fursa kwa Tanzania ...
Tanzania imeng’ara Afrika - HabariLeo
Jan 29, 2025 · MKUTANO wa wakuu wa nchi za Afrika kuhusu nishati ulihitimishwa jana Dar es Salaam. Tunapongeza hatua hii ya Tanzania kuandika historia Afrika kuwa mwenyeji wa mkutano huu mkubwa. Tanzania imeng’ara si tu kwa kuratibu kwa mafanikio mkutano huu, bali pia kwa kujizolea sifa kwa ukinara wa matumizi ...
"Tanzania ina nafasi kukuwa kiuchumi 2050" - HabariLeo
Jan 8, 2025 · DAR ES SALAAM: OFISA Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Hanspaul, Satbir Singh Hanspaul amesema kuwa Tanzania ipo katika nafasi nzuri zaidi ya kuendelea ukilinganisha na maono yaliyokuwa kwenye Dira inayoisha muda wake ya mwaka 2002- 2025 na maono yaliyopo kwenye Rasimu ya Dira 2050 ya kufikia pato la mtu kati ya Dola 4700 na 8000 na pato la taifa kufikia zaidi ya Dola bilion 700 ifikapo mwaka 2050.
Tanzania kuwa na rada saba mwishoni mwaka huu - HabariLeo
Oct 13, 2024 · WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema ifikapo mwishoni mwa mwaka huu, Tanzania itakuwa na Rada saba ikiwa ni kiwango kikubwa cha Rada katika nchi za Afrika Mashariki na Kati.. Akizungumza leo Oktoba 13, katika kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Kupunguza Madhara ya Maafa, jijini Mwanza, Majaliwa amesema hatua hiyo ni katika jitihada za serikali kufanya uwekezaji mkubwa katika sekta ya hali ya hewa.
Rais wa Burundi awasili Tanzania - HabariLeo
Jan 28, 2025 · Rais wa Jamhuri ya Burundi, Évariste Ndayishimiye, amewasili jijini Dar es Salaam kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Nishati unaoendelea katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC). Rais Ndayishimiye alipokelewa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius ...
Wachambuzi watabiri uchumi kukua, utulivu kisiasa - HabariLeo
Jan 1, 2025 · Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Utafiti, Sera na Uchumi (REPOA), Dk Donald Mmari alisema kwa kuwa waliokuwa wakichochea Vita ya Ukraine kwa lengo la kuiumiza Urusi, wameumia wao na dunia kwa ujumla, sasa wamegeuka na kutaka vita hiyo kumalizika ili kuokoa uchumi wa dunia.
Kuhusu HabariLEO - HabariLeo
Kuhusu HabariLEO. HabariLEO ni gazeti la kila siku la Kiswahili ambalo limejikita katika kuchapisha Habari za kweli, na ukweli mtupu kwa kuzingatia misingi na viwango vya juu vya taaluma ili kupasha habari, kuburudisha na kuelimisha wasomaji mijini na vijijini.