Maafisa wa Uganda wanajiandaa kupeleka chanjo ya majaribio kama sehemu ya juhudi ... Mlipuko wa sasa wa Marburg katika mkoa wa Kagera kaskazini mwa Tanzania umesababisha vifo vya watu wawili ...
baada ya wagonjwa kadhaa kuthibitishwa katika mkoa wa Kagera nchini Tanzania siku ya Jumapili, Januari 20. Wizara ya Afya ya Kenya imethibitisha kwamba virusi hivyo vimetambuliwa baada ya mgonjwa ...
Hatari ya theluji kwa usafiri.)” Kwa kuchagua mkoa kwenye ukurasa wa ... na kudondoka kwa theluji au ukomo wa kasi zikiwa na alama na ishara kwenye ramani. Baadhi ya tovuti huonyesha maeneo ...
za mwaka 2005 zinahitaji nchi kuripoti matukio ya afya ya umma na dharura zinazoweza kuvuka mipaka. Mkoa wa Kagera, unaokumbwa na mlipuko unaoshukiwa kuwa wa ugonjwa huo, unapakana na Rwanda ...
Kwa upande wake, Mkuu wa Mkoa Kagera, Fatma Mwassa amesema Serikali kwa sasa kwenye sekta ya uvuvi na uchukuzi, inaendelea na ujenzi na upanuzi wa miradi miwili ya bandari ya Bukoba na Kemondo.
Zaidi ya wakazi 500,000 wa visiwa vya Ziwa Victoria wamenufaika na huduma za afya zinazotolewa na meli ya matibabu MV Jubilee Hope, inayoendeshwa na Kanisa la Afrika Inland Church Tanzania (AICT) ...
hasa kwa sababu ya mkoa wa Kagera kuwa ni kituo cha usafirishaji katika eneo hilo, na watu wengi kusafiri kwenda na kurudi kutoka Rwanda, Uganda, Burundi na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Picha na Hadija Jumanne Dar es Salaam. Wakazi wanne wa mkoa wa Kagera na Mwanza, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashtaka 49 yakiwemo ya kutumia laini ya simu ...
Afisa Mtendaji Mkuu wa timu hiyo Fortunatus Johnson anasema kwamba, mchakato wa kuwapata wachezaji hao huwa wanaokwenda kuunda timu ya U20 wametoa ajira ya muda maalum kwa maskauti wao ambao ...
Mamlaka za kitaifa za afya Tanzania zimepeleka kikosi cha wataalamu katika mkoa wa Kagera, kaskazini-magharibi mwa nchi, ambako kesi hizo zimeripotiwa. WHO pia inakusanya rasilimali za kiufundi na ...