MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) mkoani Kagera, TRA yakusanya bil 92/- miezi sita Kagera, Meneja wa TRA Mkoa wa Kagera, ...
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema mlipuko unaoshukiwa kuwa wa virusi vya ugonjwa wa Marburg umewaua watu wanane katika mkoa wa Kagera Kaskazini magharibi mwa Tanzania.
Zaidi ya wakazi 500,000 wa visiwa vya Ziwa Victoria wamenufaika na huduma za afya zinazotolewa na meli ya matibabu MV Jubilee ...
baada ya wagonjwa kadhaa kuthibitishwa katika mkoa wa Kagera nchini Tanzania siku ya Jumapili, Januari 20. Wizara ya Afya ya Kenya imethibitisha kwamba virusi hivyo vimetambuliwa baada ya mgonjwa ...
Maafisa wa Uganda wanajiandaa kupeleka chanjo ya majaribio kama sehemu ya juhudi za kukomesha mlipuko wa Ebola katika mji ...
VIJANA wanne kutoka Kanda ya Ziwa, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, ...
Upanuzi wa bandari ya Bukoba uliokuwa umesimama kutokana na kukumbwa na changamoto ya mwamba uliobainika chini ya maji katika ...
Watu wawili, mama na mtoto wake, wamekutwa wamefariki dunia ndani ya chumba wanachoishi huku chanzo kikitajwa kuwa ni kukosa ...
Kwa mara ya kwanza mkoa wa Kagera ulikumbwa na mlipuko wa homa ya Marburg mwezi Machi mwaka 2023, ulioua watu 6 kati ya wagonjwa 9, na ulidumu kwa miezi miwili. Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya ...
Kikanda pia kuna hatari kubwa ya kusambaa kutokana na mkoa wa Kagera kuwa eneo la mpito na harakati za mipakani n anchi za Rwanda, Uganda, Burundi na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC. Baadhi ya ...
WATAALAMU wa sekta ya ununuzi wa umma wameaswa kuzingatia maadili ya taaluma ya fani yao katika usimamizi wa miradi ya umma ...