Maafisa wa Uganda wanajiandaa kupeleka chanjo ya majaribio kama sehemu ya juhudi za kukomesha mlipuko wa Ebola katika mji ...
VIJANA wanne kutoka Kanda ya Ziwa, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, ...
BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), limewataka wananchi kuchukua tahadhari za kuepuka maeneo ya fukwe za bahari pamoja na miamba ya maziwa na mito ili kujinusuru na mafuriko n ...
Mahakama Kuu Masijala Ndogo ya Bukoba imemhukumu adhabu ya kifungo cha miaka minne jela, Jacob Alphonce baada ya kumkuta na hatia ya kosa la mauaji bila kukusudia.
WATAALAMU wa sekta ya ununuzi wa umma wameaswa kuzingatia maadili ya taaluma ya fani yao katika usimamizi wa miradi ya umma ...
Wakazi wanne wa mkoa wa Kagera na Mwanza, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashtaka 49 yakiwemo ya kutumia laini ya simu iliyosajiliwa kwa jina la ...
JANA tulianza mfululizo wa makala maalumu juu ya ukiukwaji wa Kanuni ya Leseni za Klabu kuhusiana na timu za vijana tukaona ...
Benki kubwa pia zimefungwa. Lakini watu wengi bado wana wasiwasi wakihofia uwezekano wa kurejea kwa mapigano katika mkoa wa Kivu Kaskazini. ''Watu wanauoga...bado nina hofu kwasababu wale ...
Mkutano wa dharura wa wakuu wa nchi za jumuiya ya maendeleo kusini mwa Afrika umeagiza kutumwa mara moja kwa mawaziri wa ulinzi na wakuu wa ulinzi kwa nchi zinazochangia wanajeshi nchini DRC ...
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga wamerejea kileleni mwa msimamo wa ligi hiyo baada ya kupata ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Kagera Sugar na kuishusha Simba. Kurejea kwa Yanga kileleni ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results