Mahakama Kuu Masijala Ndogo ya Bukoba imemhukumu adhabu ya kifungo cha miaka minne jela, Jacob Alphonce baada ya kumkuta na hatia ya kosa la mauaji bila kukusudia.
Watu wawili, mama na mtoto wake, wamekutwa wamefariki dunia ndani ya chumba wanachoishi huku chanzo kikitajwa kuwa ni kukosa ...
Narendra Modi kwa ajili ya kusaidia wananchi wa Mkoa wa Kagera waliopatwa na maafa ya tetemeko la ardhi lililotokea tarehe 10 Septemba, 2016. Hundi ya fedha hizo imekabidhiwa Ikulu Jijini Dar es ...
anasema Abdul Nuri. Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Albert Chalamila amesema ajali ilitokea muda wa saa mbili na dakika karibu 20, ilikuwa na jumla ya watu 43, katika hao 39 ni abiria, wawili wahudumu na ...
Uganda imeongeza kiwango cha tahadhari kutokana na mlipuko wa homa ya Marburg nchini Tanzania. Nchi hiyo ya Afrika Mashariki ...